STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,243
Wanaumeee!!! Kama kawa kama dawa Brigedia wenu mpelelezi A.K.A mtetezi wa kambi ya kiumeni
ninaendelea kutekeleza majukumu yangu ya kuhakikisha Majita wote wanaishi kwa kuserereka bila kukwama yani.
'
Ebhana washkaji zangu juzikati nilienda kumnunulia manzi mmoja hivi Underwear,
Sasa kuna demu nikakutana nae hapo dukani na nikawa napiga nae stori za mbili tatu,
kwaufupi huyo demu tunafahamiana juu juu tu,
Ile katika utani wa hapa na pale akawa
anaelezea Uzoefu wake wa ku-date na wanaume wa aina mbali mbali,
na akagusia kitu kimoja ambacho kimenifanya mpaka niandike hii thread,
Alisema yeye kabla ya kumkubalia Njemba kwenda nae kusex huwa anahakikisha anafanya juu chini mpaka anahakikisha anaupapasa mjegejo ili kuujua ukubwa wake,
Na kama atahisi ni mkubwa na utamuumiza au hatoweza kuhimili mikikimikiki yake basi atatunga mauongo ya fasta na kutoa vijisababu kibao ilimradi tendo lihairishwe.
Na akasema hiyo mbinu wanaitumia wanawake kisirisiri na ndomana unakuta demu ameshakulia vitu vyako au mmeshaahidiana lakini ghafla anakubadilikia na mnajikuta mnasitisha shughuli ya kulegeza chaga,
'
Sasa Maninja eeeh inabidi tuweke mikakati madhubuti ya kuhakikisha haturuhusu mademu kuipapasa mitulinga yetu kivyovyote vile,
Na hii ifike mbali zaidi na iwe kwa wote hata wale wakuitwa vibamia pia!
Manake unaweza ukakutana na demu kama Evelyn Salt Ambae anapenda dude la kijeshi, sasa akikupapasa akakutana na mbilimbi basi HESABIA UMEUMIA...!!!
Am Done!