SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 910
- 742
Habari wanaJf...naamini nitapata mawazo mazuri maana hapa ni sehemu ya uhakika ya kutatua matatizo..
Hivi ukimtongonza msichana akakupiga kibuti (kukukataa)..je kuna haja kuendelea kuwasiliana nae kama zamani kabla ya kumtongoza?...au inabidi ukatishe kabisa mawasiliano?MSAADA