Ni kweli asali ikimwagiwa kwenye dushe halisimami?

kideko

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
296
217
Wakuu,

Naombeni msaada kwa anaefahamu, kumekuwa na tesesi kuwa ukimwagia asali kwenye dushe unaliua kabisa halisimami tena.

Je ni kweli?
 
sio halisimami sema linakuwa na nguvu kubwa... jaribu kama hujakimbia na pichu!
 
Wakuu,

Naombeni msaada kwa anaefahamu, kumekuwa na tesesi kuwa ukimwagia asali kwenye dushe unaliua kabisa halisimami tena.

Je ni kweli?

Hahahaaaa haina ukweli wowote maana hakuna ushahidi wa Kisayansi ! Pia babu Yangu enzi za ujana wake alikuwa mlinaji asali Mashuhuri na moja ya njia walizotumia kulina Asali miaka hiyo tena mchana kweupe ili asing'atwe na nyuki alikuwa anavua nguo zote na kuchukua asali ya ziada iliyo ndani anajipaka mwili mzima baada ya hapo unaenda kuilina Asali na nyuki hawamng'ati maana wanapotua juu ya ngozi yake wanakutana na Asali badala ya joto la kawaida la mwili wa binadamu hivyo kazi yake yeye ni nyepesi tu ! Isitoshe ilikuwa ni kazi yake ya kila siku huku nyumbani alikuwa na wake 4 + michepuko
 
Zamani pia watu walikuwa wanadanganywa kwamba ukichanganya asali na limao ukila unakufa???
Haaha hawajui tu vitu vingi vinavyozushwa vinakuwa vice versa... You can't believe asali ukiipaka kwenye dushe Kuna matokeo mazuri sana kwenye mwili wako utayapata
 
Back
Top Bottom