Habari JF
Kuna demu mmoja nilkua nachati nae as a friend tuu hatujawahi kua na mahusiano ya mapenzi
Sasa juzi nikamtmia picha ya WiFi yake whatsap daaah skuamini alini kasirikia hatari na...
What's good JF-MMU nation.
I hope y'all are hunky-dory just as I am.
So let's get right to it and set aside all pretenses, fronting, machismo, the fear of honest emotions, the usual BS and talk...
Watu wengi huwa wanapata picha kuwa watu wa dini, wachungaji, waimbaji wa nyimbo za injili kuwa huenda wao maisha yao ya ndoa huwa yanakuwa na amani na furaha tupu lakini mwimbaji Upendo Nkone...
Wadada wengi wamekuwa wakilalamika kuwa hawakati kiu zao za mambo ya kikubwa, wao huita kufika kileleni. Lawama zote wamekuwa wakizitupa kwa wenzi wao wa kiume. Lakini ukweli tatizo la wanaume...
Naomba kujua kama kuna madhara yeyote kumwambia mtu anaekupenda sana kua hujskii wala huinjoi kuwa nae maana kuna mtu ananpenda sana ila mm smpend hata kidogo anataka tuoane mimi moyo wng hauko...
[emoji121]
Wakuu,
Kufuatia kushamili kwa mijadala ya single mothers humu ndani,
Ni vema leo single fathers tupeane kunga za kujadili mustakabali wa kuwalea watoto wetu kiufasaha.
Tunawezaje...
Mimi ni kijana miaka 30.Natafuta mchumba rangi, umbo, elimu sio kigezo ili awe anajielewa,anajitambua asiwe tegemezi awe mchapakazi.
Kama unaona uko tayari ni pm tuwasiliane. Kwa wale wa masihara...
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi wote wa Jf,
Binafsi nmekuwa msomaji mkubwa sana wa jf (As Guest User) mpaka kipindi hiki nilipopata msukumo wa kumtafuta mwenza wa...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 natafuta mke wa kuoa aliye serious kwa ndoa awe na umri wa miaka Kati ya 20-28 aliye tayari tuwasiliane pm tafadhari asanteni
1. Hofu ya kuishi peke yao
Wanawake walionyesha kuwa na hofu sana ya maisha ya upweke. “Mwanamke aliyeolewa akiwa na miaka 23, akakaa kwenye ndoa miaka 20 na kuendelea siyo rahisi sana kujikata...
Habari za asubuhi wanajamvi wa MMU,
Naombeni msaada wenu wa dhati kupata hoteli ya gharama nafuu kidogo sehemu za msasani au masaki.
Leo ninataraji kuwa na outing na ningependa kufanya kitu...
Ni pale unapokuwa mwenye huruma na kumjulia hali mpenzi ambaye kwa kipindi hicho anakuwa ktk kipindi cha kuruka angani anakuwa na maumivu flani ya tumbo (Isfahan kama ni kwa wote) lakini upande wa...
Habari wana jamvi,
Zimepita kama siku 3 au 4 kuna mwana jamvi mmoja alileta uzi unaoonesha majibu ya mwanamke anaekupenda na asiekupenda kwa mfano kama ukimtumia pesa au vocha.
Kwa upande wangu...
(1) Muongo: mwanamke muongo ni mwanamke wa kukwepa zaidi ya Ébola. Mwanamke wa aina hii hulazimisha uongo uwe ukweli na ukweli uwe uongo hata kama uongo wenyewe uko wazi . (2) Muongeaji...
Habari zenu wapendwa. Naamini JF ni sehemu nzuri sana ya kufahamiana. Nimeshuhudia watu waliooana kipitia jf.Hivyo nami naamini nawezapata mke kupitia humu. Mimi nina 43yrs. nimejiajiri, mrefu...
Kwa nini wanawake wanakua hawana hamu ya tendo la ndoa yaani hata kama akikupa unajitahidi
kumuandaa lakini hazimpandi yaani inafika mpaka KITU kiko ndani lakini wapi
Na mwanaume akiliona PAJA...
Salamu kwenu wana bodi.
Hili jambo limemkuta kijana wa rafiki yetu,nikiwa kama rafiki wa baba yake akaona vyema aje kutoa dukudukdu lake kwangu.
Kwa kifupi huwa sina muda na masuala ya familia za...