Habari wakuu,
Kwanini wakwe these days wamekuwa hawana thamani kabisa wanaogopwa kama Simba mwenye njaa? Utasikia bora kuachika kuliko kukaa na wakwe au kutakua na ugonvi au dharau.
Kwanini watu...
Habar za muda huu wadau,
Kama kichwa kinavosema, nimekaa nimefikiria kuna siku nilikiwa nimesafiri nimetok nje ya mkoa ninaoishi, sasa nikiwa huko nilikaa kama wiki tatu, ila kuna siku nipo...
Peoplee,
Natumaini nyote mu wazima wa afya. Ninawasalimu wote.
Ndugu zangu, ninakuja hapa kuomba msaada. Najua wapo watakaonibeza kwa maneno ya kashfa lakini inapaswa mtambue kuwa nina...
Habari za usiku wanajamii
Mimi ni kijana wa kiume Rijali Kabisa sasa imetokea nimependwa na Madem wawili na wote ni wazuri na wote nawapenda sasa mmoja ni mtoto wa kishua na mwingine ni wa...
SHEMEJI MONICA
SEHEMU YA PILI
Na Nira Saire
Halikuwa swali gumu kwa James kwa maana jibu alikuwanalo, ugumu ulikuwa kulitoa hilo jibu, “CD ipi?” James akajifanya kuuliza swali ambalo Monica...
Habari za leo wapendwa,
Kama wanasayansi wanavyosema UKIMWI unaweza kudhibitiwa na ARV, sasa umepata mwenza amekwambia ukweli kuhusu afya yake, umegundua ni Zaidi ya miaka mitatu sasa anatumia...
Ukiwaona watu wanavyopendeza na kuvutia utasema kweli mungu kaumba.
Lakini kumbe hakuna lolote!!!!
Kinachowapendezesha hawa viumbe ni mavazi!
Ukitaka kujua binadamu ni kituko akae uchi.....
Wadau habari ya muda huu
Yani mwenzenu mida hii ndo nazinduka baada ya kulewa chakari mida ya asubuhi
Tangu Jana nipo ghetto na demu wangu sasa nlichokifanya Leo ndo sijui hatma yangu
Ni kwamba...
Wakuu,
Baada ya mbinde ya miezi kama mitatu hivi ya kubishana na upande wa ukweni kuhusu kipengele cha mahari hadi nikaweka mgomo na kuzila kuwa nimeghairi kuoa kwenyewe,
Hatimaye jana wamekubali...
Sikumoja niliamua kwenda wanakojiuza wadada ikiwa ni moja kati ya njia zangu za kuepuka punyeto. Mambo yalikua ivi, nilifika lile eneo nikachagua mrembo alie jaa makalio na matiti makubwa kama...
Salaam nyote,
Kama title inavyojieleza. Miaka yangu ni 34, elimu yangu ni Advanced Degrees, nimeajiriwa. Makazi yangu ya kudumu ni Dar, ila kwa sasa naishi South Korea (contract assignment)...
Leo nimeamua niweke wazi swala lililo nitesa kwa mda mrefu. Na pengine na wewe linakutesa lakini huezi liacha. Nilianza kuangalia x movies toka darasa la saba hivyo kupelekea kujichua kila mara...
Habari ya wakati huu.
Wanaume wenzangu ambao mmeoa mke mkoja au mna mpenzi mmoja na hamchepuki mnahitaji pongezi za ziada. Mnastahili heshima ya aina yake.
Kwa wanaume ambao mko sexully active...
Wakuu habari,
Siku hizi kuna shida kubwa ambayo kwa utafiti inaonyesha ni sababu kubwa kuyumbisha ndoa za wengi wale wako katika ndoa na hii ni kwa sababu mwanaume kuamua kuoa mke mwenye ajira...
WanaJF,
Nipo katika mahusiano na mwanamke ambaye elimu yake ni std 7, mimi nina elimu ya pia nipo certified na moja professional board hapa Tanzania! Kiukweli ni mtu anayejali na anaonesha...
Habari wanajamvi,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni muajiriwa serikalini, natafuta mke mwenye umri kuanzia 18-28 elimu kuanzia kidato cha nne.
Tuwasiliane kwa email; mbwana26@gmail.com au PM
Wakuu
Nimedumu na mpenzi wangu mpya huyu ambaye nampenda sana yapata sasa ni mwezi wa tatu nipo katika huba nzito!
Siku za hivi karibuni amekuwa akihitaji nichukue kinywa changu kupitia ulimi...