Piga kikombe cha kahawa ile ya kitiruki nitalipa,,,yaan uolewa ukakae na wakwe wote mnakutana chooni na kanga moja,,,Kwani uliolewa ukae na mume au ukae na wakwe?
Swali zuriKwani uliolewa ukae na mume au ukae na wakwe?
Swali liko wazi kwa nini wamekua hawana THAMANI kama mzazi wa mume/mke wa pili .Kwani uliolewa ukae na mume au ukae na wakwe?
Asante mkuu, mwenzio wikend wataka kulala na mumeo hadi saa3,4 hayo maneno yatakayoendelea humo ndani kwa mawifi na mama khaaaaaneno la Mungu linasemaje kuhusu ndoa ?
sijaona mahali wamesema utaachana na wazazi wako ukakae na wakwe zako bali utaachana na wazazi wako uumbatane na mumeo au mkeo..
wanaume mmekuwa wabinafsi sana je ukiambiwa ukaishi ukweni kwa mwanamke mtaweza ? kama hapana kwa nini nikaishi kwa wazazi wako?
okey wengi tulishuhudia baadhi ya familia wakiteseka kisa wakwe na mawifi lakini kwa kuwa walifundwa kukaa kimya na kukubali tu waliweza .. mkuu kipindi hichi hatujafunzwa kukaa kimya ooh usiongee mbele ya wanaume especially kipindi hichi cha utandawazi .. tunajikuta tumewajibu wazazi wenu mnaanza kusema ooh sina adabu ooh sijui mwanamke gani bad enough wanaume wa karne hii hamjielewi wengi wenu mpo mpo tu kama mizigo ...
okey mama na mke wapo kwenye ugomvi utkaa upande wa nani? mkuu fuata neno la Mungu
Haa ha utajuta wanataka wakaupangie na kaziAsante mkuu, mwenzio wikend wataka kulala na mumeo hadi saa3,4 hayo maneno yatakayoendelea humo ndani kwa mawifi na mama khaaaaa
Tena wengine wanakupa hela kabsa[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mi naona wakwe wengi siku hizi ni friendly
Kweli?mi nilishaona mtu na mkwe wanapiga story tena zimekoleaaa utafikiri ni mtu na mwanaeTena wengine wanakupa hela kabsa[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kama mm nisipoenda ukwen naambiwa mkwe tumekumiss,,,cz nilijifunza kuwafanya kama wazaz wngu,tunacheka na kuongea km mzaz na rafiki...Kweli?mi nilishaona mtu na mkwe wanapiga story tena zimekoleaaa utafikiri ni mtu na mwanae
Ndio vizuriKama mm nisipoenda ukwen naambiwa mkwe tumekumiss,,,cz nilijifunza kuwafanya kama wazaz wngu,tunacheka na kuongea km mzaz na rafiki...
Thats is really LIFEKweli?mi nilishaona mtu na mkwe wanapiga story tena zimekoleaaa utafikiri ni mtu na mwanae
Lazma iwepo BALANCE between two sides as one FAMILY .Kama mm nisipoenda ukwen naambiwa mkwe tumekumiss,,,cz nilijifunza kuwafanya kama wazaz wngu,tunacheka na kuongea km mzaz na rafiki...