Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu poleni na misuko suko ya mafuriko yalioikumba miji kadhaa nchini. Najua wengine bado hamjapona vizuri kutokana na mafuriko hayo. Kwenye mada ya msingi, wale wadau wasiopenda bugdha ya...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Kwema jamani? Naomba wanawake mnijibu, Hivi ni kwanini hamvutiwi sana na sisi wanaume tunaovuta fegi sana sana naona wanawake wa kiafrica ndio wana haka katabia ka kutunyanyapaa maana nakumbuka...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwa wale wanaosumbuka sana kutafuta wachumba unaweza kuta mlisha olewa kitambu. Ni muda wa kumuomba Mungu afute ndoa za awali, Kutubu,na kuvunja yote ya kale ili uanze upya, upewe ndoa mpya.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Vipi mambo wakuu, Wazazi wangu ni watu wazuri saana sio kama nawasifia ni watu wenye kupenda watu sana kupita kiasi na wala hawana issues na mtu yoyote wala hawana mpango na issues. Hata ndugu...
6 Reactions
267 Replies
17K Views
Habari za jioni waungwana, Kwa wale wenzangu tuliotendwa na kujikuta mnajisemea "mapenzi tena sitaki", mnafanya nini ku overcome upweke? Upande wangu ni kula lager tu ila hainiponyi sana.
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimekaa na kutafakari kwa kina ,nikajikuta najiuliza swali hili,baada ya kungalia changamoto mbali mbali zilizopo kwenye ndoa nyingi ,ambapo wengi tuna amini ndoa huwa inapangwa na mungu...
5 Reactions
99 Replies
9K Views
NIMEMPATA ASIYEBADILIKA...; DECEMBER 29, 2013, Kanisani (singing) NIMEMPATA ASIYEBADILIKA, YESU HAWEZI BADILIKA (repeat) Kwa hali ya kushitua nilijikuta natokwa na machozi ambayo kwa kweli...
26 Reactions
231 Replies
25K Views
Hivi kuna ukweli wowote kuwa mwanamke anaehongwa sana ni mchepuko?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
.. Heheeee!!! Baadhi ya matukio mengi ya vifo vya wanawake wanaofia guest house au sehemu nyingine yoyote maalum kwa kufanya mapenzi, kumekuwa na upotoshwaji mkubwa juu ya ripoti za matokeo ya...
20 Reactions
112 Replies
14K Views
Hellow wakuu, Kwanza kabisa nawashukuru kwa michango yenu ya kimawazo hapa jukwaani kwani imesaidia watu wengi sana, VIVA JF, Leo napenda kushare nanyi kile nilicho nacho kwani ni ukweli ambao...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Niende kwenye mada moja kwa moja, nimefanya utafiti mdogo usio kua rasmi kuhusiana na matumizi ya condom(salama), nimebaini yafuatayo: Asilimia kubwa ya wanawake hawana...
3 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari za Muda huu wapendwa, Mchumba wa kiume aambaye yupo tayari kuingia katika maisha ya ndoa anaitajika. Vigezo : miaka 30 mpka 36awe tayari kucheck afya, awe mkristo awe na kazi...
0 Reactions
3 Replies
797 Views
Unakuta mke wa jamaa mkali kishenzi ila jamaa anapiga mechi za njee na vidada visivyoeleweka mbele au nyuma ni wapi? Kwa upande mwingine unakuta mkee wa mtu anahudumiwa kila kitu ila akipata...
0 Reactions
7 Replies
956 Views
STORY: SHEMEJI MONICA MTUNZI: Nira Saire SEHEMU YA KWANZA ????????????????????? James alikuwa ndo kwanza amemaliza limu yake ya kidato cha sita, akiwa anangojea matokeo akaamua...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Sakayo huko wapi nikubusu mama
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni kijana mwenye miaka 29 mfanyakazi private school as a teacher natafuta mchumba age between 22-25 awe na hofu ya Mungu na mweupe. Nawasilisha
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, Siku hizi kuna utitiri sana wa sherehe ya siku ya kuzaliwa (birthday party) wengine wanafanya hata Mara mbili au tatu hasa wasichana wa vyuoni. Mimi binafsi nimeshangazwa na namna ambavyo...
0 Reactions
112 Replies
12K Views
Habari za muda huu wakuu, Nimejaribu kufanya utafiti mdogo katika eneo langu la kufanyia kazi na nimebaini wanaume wengi wanateseka sana kwa sababu ya wapenz wao. Kwanza hii inatokana na...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kwanini wakwe these days wamekuwa hawana thamani kabisa wanaogopwa kama Simba mwenye njaa? Utasikia bora kuachika kuliko kukaa na wakwe au kutakua na ugonvi au dharau. Kwanini watu...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…