Sababu zinazowafanya wanawake wengi kufia "kitandani"

Sababu zinazowafanya wanawake wengi kufia "kitandani"

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,535
..
Heheeee!!!

Baadhi ya matukio mengi ya vifo vya wanawake wanaofia guest house au sehemu nyingine yoyote maalum kwa kufanya mapenzi, kumekuwa na upotoshwaji mkubwa juu ya ripoti za matokeo ya uchunguzi wa vifo vinavyotokea. Hasaa wale wanaokutwa wamepoteza maisha bila kuwa na jeraha lolote

Wengi hudhani kuwa wanawake wanaopoteza maisha bila kuwa na majeraha mwilini basi itakuwa waebanwa na kukosa pumzi au wamewekewa sumu ila wakifa wanaume utaskia "viagraaaa" hiyoo kazidisha dozi

Lakini hayo yote bado wamesahau kuwa kuna sababu moja inayotufanya watoto wa kike tunapokutana na wakaka huwa inatufanya mpaka umauti unatukuta

Sababu zenyewe ni hizi

1.Unamchuna mwanaume kupita kiwango yani wewe ni kuomba omba tu

2.Pamoja na kumchuna kwa kipindi kirefu linapokuja swala la kufanya mapenzi unamkatalia huku ukiwa na visababu kibaoo vya uwongo na ukweli

[emoji115] kipindi hicho chote mwanaume anakuvumilia tu tenaa umkute ndo mwanaume wa mkoa ndio nuksi maana huwa sio wa mchezo mchezo na hela zao huzipata kwa tabu.

Sasa utajizungushaa wee ohh bado nasoma sijui naogopa mimbaa, mara ooh mi mke wa mtuu lakini ipo siku lazima utashikwa na huruma tu na Utamvulia [emoji160] chupi mwenyewe.

Na hapo ndio balaa lote utaliona yaani hizo paipu utakazopigwa utasema unabakwa kumbe umeshakula sana vya watu

Heheeeeeeee[emoji108] [emoji108] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haloooooooo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Siku hiyo mwanaume atameza kila aina ya dawa ilimradi tu akukomeshe kwa sabababu umemsumbua kwa mda mrefu na huamini kuwa hatokupata tena hivyo ni lazima amalizie hasira zote kifuani

Mtoto wa kike hapo nilazima upigwe paipu hadi ukose pumzi mwishowe kifo

Heheeeeeeee[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
I
 
Bila shaka we bado uko kwenye 18s . Mawazo yako ya kitoto. Eti wanaume wa mkoani hawana pesa na wanazipata kwa taabu. Naomba nikusahihishe. Kwani unaposema mkoa we upo wapi? Na huo mkoa ni mkoa gani? Wanaume wa da ndo maskini na hupata pesa kwa taabu mf kutapeli.kudhurumu .kuiba.kupewa na mijimama. Kuuza unga nk. Alafu jawana akili kwani hudhani kuhonga ni maendeleo na hivyo ni sehemu ya maisha. Alafu game hawaliwezi wanagusagusa tu watoto wa watu.
 
unauhakika gan walikutembelea nn ukaona hawawez
 
Back
Top Bottom