Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu,
Siku hizi kuna utitiri sana wa sherehe ya siku ya kuzaliwa (birthday party) wengine wanafanya hata Mara mbili au tatu hasa wasichana wa vyuoni.
Mimi binafsi nimeshangazwa na namna ambavyo sherehe hizi zinafanywa kumwagiana maji na vyakula kama itakayoonekana kwenye kielelezo kifuatacho.
Je, hata zamani watu walikua wanafanya hivi?