Hivi kuna ukweli wowote kuwa wanawake walio wengi hawapendeki?

Mlemi

Senior Member
Mar 24, 2017
161
91
Habari za muda huu wakuu,

Nimejaribu kufanya utafiti mdogo katika eneo langu la kufanyia kazi na nimebaini wanaume wengi wanateseka sana kwa sababu ya wapenz wao.

Kwanza hii inatokana na bidhaa ambazo nauza za kike ambazo wateja wengi ni wanaume na ununua ili kuwapelekea wapenzi wao.

Sasa unapomuambia huyu mwanaume kuwa hizi zawadi zinaongeza mapenzi katika mahusiano yao wengi wanajibu wanawake huwa hawapendeki.

Sasa nawauliza wakuu mlioko huku hvi ni kweli wadada hawapendeki?
 
Yan una amin kwamba zawad zinaongeza mapenz??? Kwel we bado sana,,mapenz hayana sababu ndg
 
Habari za muda huu wakuu, nimejaribu kufanya utafiti mdogo katika eneo langu la kufanyia kazi na nimebaini wanaume wengi wanateseka sana kwa sababu ya wapenz wao. Kwanza hii inatokana na bidhaa ambazo nauza za kike ambazo wateja wengi n wanaume, na ununua ili kuwapelekea wapenz wao. Sasa unapomuambia huyu mwanaume kuwa hizi zawadi zinaongeza mapenzi katika mahusiano yao wengi wanajibu wanawake huwa hawapendeki. Sasa nawauliza wakuu mlioko huku hvi n kweli wadada hawapendeki?
Naaam kwa upande mwingine wanawake ni shida sana,ndo maana tunaambiwa ktk vtabu vya kiroho TUISHI NAO KWA MAKINI SANA na mwanamke siku zote hupenda kuishi kwa mifano unaweza ukawa na mwanamke yeye akawa ni mwenye kutamani kitu flani ambacho ni kibaya kwake ukawa unamkanya yeye huhisi kama ananyanyaswa au anateswa lkn ww unamtakia mema,yeye ajui lkn atakuja tu kukuelewa pale tu amepata madhara dhid ya kile alichokuwa anakiitaji kwa hyo wake wengi huishi kwa mifano tofaut na hapo hakuna mwanamke ni dhaifu si kwamba tunawadhalilisha kama huwa wanavyodhani
 
Mkuu kama hutoi kitu ujue unasaidiwa sana tu, hakuna mapenz bila pesa
Pesa sio zawad,,wengi mnafel kwenye mahusiano cz unayachanganya mapenz na upendo..mapenz sio upendo kua makin hapo,,
upendo hauna sababu ndugu
Upendo ndio sababu yenyewe
Ukipenda mtu kwa sababu utafel maana upendo haupendwi bali unapenda tu.....
Usichanganye sana mapenz na upendo
 
Kupendwa usikopendwa ndio utaita kutopendeka...haijalishi ni mwanamke ama mwanamme hapo
 
Shida wengi wenu wake kwa waume mnajipendekeza kwa wapenzi wenu. Hampendwi ila mnang'ang'ania tu. Ndiyo maana mnapewa masharti magumu, mara mnunue vijizawadi. Mkipendana mambo yanaenda mtelezo tu.
 
Mwamba ngoma huvutia kwakwe, wanaume lazima watakubaliana na wewe ila wanawake hatutokubaliana na wewe maana hata sisi tunawaona hivyo hivyo.

Watu wengi (bila kujali jinsia) washaumizwa na mapenzi kwa njia moja au nyingine.
 
Kuna dr(nimemsahau jina) nilimsikia akilisema hilo, ofcoz ana facts nyingi sana ikija kwenye suala la mahusiano kwa ujumla.
Nilikua mmoja mwanafunz wake,,na ukichunguza kuna ukwel mkubwa ambao huku nje hatuujui na hatuupendi
 
Habari za muda huu wakuu,

Nimejaribu kufanya utafiti mdogo katika eneo langu la kufanyia kazi na nimebaini wanaume wengi wanateseka sana kwa sababu ya wapenz wao.

Kwanza hii inatokana na bidhaa ambazo nauza za kike ambazo wateja wengi ni wanaume na ununua ili kuwapelekea wapenzi wao.

Sasa unapomuambia huyu mwanaume kuwa hizi zawadi zinaongeza mapenzi katika mahusiano yao wengi wanajibu wanawake huwa hawapendeki.

Sasa nawauliza wakuu mlioko huku hvi ni kweli wadada hawapendeki?
mwanamke ni kama mtoto uzoeshavyo ndivyo atakavyo zoea kifupi wanawake ni kama kuluta wa JKT hajawai kushiba na huwa hashibi
 
Back
Top Bottom