kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 8,972
- 16,970
Kwema jamani?
Naomba wanawake mnijibu,
Hivi ni kwanini hamvutiwi sana na sisi wanaume tunaovuta fegi sana sana naona wanawake wa kiafrica ndio wana haka katabia ka kutunyanyapaa maana nakumbuka Obama nae ni mwanachama mwenzetu lakini angalia chombo (Mitchell ) anachomiliki pale Marekani? Naombeni jibu jamani, maana haiwezekani msichana akijua tu mtu unatumia fegi anakupotezea fast?