OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,464
- 11,338
Hellow wakuu,
Kwanza kabisa nawashukuru kwa michango yenu ya kimawazo hapa jukwaani kwani imesaidia watu wengi sana,
VIVA JF,
Leo napenda kushare nanyi kile nilicho nacho kwani ni ukweli ambao watu wachache sana wanaufahamu ,
TUJIULIZE MASWALI YAFUATAYO KWANZA,
Je ni nani aliyewahi kubadilisha tabia ya mke/ mume /mchumba/mpenzi kwa kumueleza ukweli au mapungufu yake na akafanikiwa kwa asilimia mia. moja?
Jibu ni kwamba hapana kwani huacha kwa muda fulani na tabia huanza kujirudia na kukua zaidi,
Tabia ninazo zizungumzia hapa ni kero zote zinazo kela au kumuudhi mtu katika mahusiano,
Chukulia mfano mume au mpenzi wako hakulidhishi vizuri kitandani kwa sababu hupiga bao moja tu siku akijitahidi sana ni bao mbili, mke au mpenzi wako kukunyima ushirikiano (kukaa kama gogo) wakati wa kugegedana,
Mahusiano na ndoa nyingi zimevunjika kwa maamuzi ya kuambizana ukweli kwani hupelekea tatizo kuzidi kadri siku zinavyo zidi kujongea,
"""every man knows that when his wife is appreciating him for the little things that he does, what does he want to do ? He wants to do more . It is always about appreciation""
NJIA SAHIHI YA KUTATUA TATIZO NI
Kumpongeza/kumsifia / kumshukuru kwa kumueleza kuwa umefurahia na kuenjoy haswa , hii itamfanya ajisikie vizuri na kuongeza zaidi huduma kwako.
Mapenzi ni upofu , hataweza kuhisi chochot kuwa haukuridhika kwa kile kidogo alicho kupa, ataongeza zaidi,
Believe me,
Mapenzi ni utoto, ni sawa na kumsifia mtoto mdogo kuwa anajua kucheza, sikunyingine akikuona atakukimbilia na kukukumbatia na ukimuwekea mziki atacheza zaidi.
Ahsanteni..