Kuna mtu nampenda humu

Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Ni kweli hatuwezi kulingana kifkra na yule aliekamatwa napolisi kwa matamshi mabaya kwa mtazamo wa mamlaka,lkn pia nae muhusika anaweza akawa na sababu zake tena si ajabu zikawa na mantiki nzuri,kiukwel hata vyombo vyetu vya dola ususani polisi wamekuwa nadosali kubwa kwa raia baadhi ya askari wamekuwa ni waonevu sana ktk suala zima la utoaji wa haki huko mitaani wengi wamekuwa wakiwa bambikia watu kesi hiyo inapelekea baadhi ya raia kuwa na jazba na jesh hilo kwa hyo tujitahid kubadilika sisi raia na vyombo vya mamlaka husika
 
Usiumize akili sana. Piga moyo konde, vuta pumzi ndefu x3, mwambie ukweli wa hisia zako kwake. Atakusoma tu.
 
Duuh!... Aisee, yani Comments tu zinakimbiza moyo? Anyway, mtaje humu ajue unamzimia.

Cc Daby siyo wewe kweli Mkuu? Maana warembo wa huku wanakuzimikia balaa.
 
kupenda bila kumuona mhusika! inaleta mushkeri kidogo sasa umependa koment zake au umempenda yeye..?
kwani kuona koment zake na kushtuka ndo kigezo cha kumpenda..?
 
Back
Top Bottom