Kwa wale wanaosumbuka sana kutafuta wachumba unaweza kuta mlisha olewa kitambu.
Ni muda wa kumuomba Mungu afute ndoa za awali,
Kutubu,na kuvunja yote ya kale ili uanze upya, upewe ndoa mpya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.