Upweke: Muuaji wa kimya kimya

Habari za jioni waungwana,kwa wale wenzangu tuliotendwa na kujikuta mnajisemea "mapenzi tena sitaki", mnafanya nini Ku overcome upweke? Upande wangu ni kula lager tu ila hainiponyi sana
Hali ya kuachwa au kuachana katika mapenzi kwa sababu mbalimbali zipo,sababu ambazo hupelekea mtu kuwa na upweke.
Ushauri wangu,tafuta mtu unaemfahamu anae kufahamu na akakusikiliza then akakuelewa,akaelewa hisia zako. Kuongea na mtu it helps kuelezea hisia zako za ndani ambazo unatamani kuzitoa Yaani Kama donge Fulani linakukaba kooni. U will get a relief.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom