Rejea mada tajwa,
Heri ya pasaka mwana MMU,
Binafsi sijawahi kufanya wasichana washikane mashati au mimi binafsi sijawahi kukabana na mshikaji kisa msichana ila niliwahi shuhudia wasichana...
Hii kauli nimekuwa nikiisikia mno kutoka kwa Wanaume wenzangu kuwa wao wapo radhi waoe hata Wanawake wabaya wa Sura au Masikini lakini kikubwa wawe tu wasafi na wanajua swala zima la usafi kama...
Kwa wale waajiriwa Heri ya Mei mosi
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Kwa utafiti mdogo nlioufanya leo nimegundua Kati ya wadada 10 wa mjini nliokutana nao ni mmoja Tu ndo kajiweka kiasili kuanzia...
Nilikuwa Dar kwa ajili ya mapumziko kwenye kipindi cha Pasaka. Ilipofika siku ya Ijumaa Kuu nilihama kutoka hotelini kwenda kwa dada kwa nia ya kuwa karibu na nyumba ya ibada.
Maeneo anayoishi ni...
Habari zenu!hapa nilipofungua naambiwa huku roho inhuman hata kwa mume nimeondoka nimekuja kwetu kupumzika.ni mume wangu kipenzi na tuna ndoa ya miaka miwili na mtoto mmoja hakika tunapendana sana...
Habari wana jamvi,
Mi ninapenda kujua inakuaje mwanaume unakua unapenda kupiga denda wakati shughuli yenyewe huiwezi? Utakuta mwanaume anakukiss kwanza anaachama domo lote wazi, pili anaingiza...
Hili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa?
Nahitaji tu kujua kama wapo...
Katika mchakato mzima wa kufanya mapenzi there are two outcomes, either kuridhishwa au kutoridhishwa. Sasa ikitokea tumefanya sex but sijakuridhisha basi elewa kuwa sijaridhika/sijaridhishwa...
Imagine upo na ndugu, rafiki, au jamaa na anakuomba uumpe ushauri wa kuzingatia akiwa kwenye mahusiano.
Ningemwambia katika mahusiano, never put up with bullshit. Unakuta mtu yupo na a partner...
Habarini wana jukwaa
Niende moja Kwa moja kwenye mada husika
Jamani Mimi nna mpenzi wangu anajua mapenzi vizuri Tu Ila nakerwa na aina ya denda analonipa
Kwa nijuavyo mimi denda linahusisha...
Wakati mimi na mke wangu tuna date nilimfahamu huyu jamaa kama "shemeji" yaani kaka wa mke wangu, maana kila nilipoenda pale nyumbani nilimkuta, pia wife alinitambulisha kwamba ni kaka yake wa...
Habari zenu wakuu,
Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua...
Nilipata simu ya sista wangu mtoto wa baba mkubwa akaniambia dhamira yake kutaka kuachana na mume wake, kwa sababu yeye ana kazi nzuri na amefanikiwa kujenga nyumba ya ghorofa na mume wake kwa...
habari waungwana wa jukwaa letu pendwa?
kwanza kabisa ifahamike kua nina account mbili humu ndani ambapo ile ninayoitumia sana imenijengea jina kubwa sana humu especialy kwenye comments,wadada...
Wadau,
Leo nilikuwa safarini basi kuna dada akikaa peke yake, baadae njiani anapanda mwanaume mmoja, jamaa akaanza kurusha mistari demu full ma tabasamu etc mwisho wakabadilishana namba. Mjuzi...
Habari za umu wanabodi,
Nitakribani mwaka sasa nimekua mtu wa tofaut sana mkali sanaa,mkorofi,short tampered,non friendly(ingawa I still have friends,old ones),kabla ya hapo nilikua mcheshi,mpole...
JF ina majukwaa mengi tena yenye manufaa zaidi ya MMU, lakini wanawake wengi JF kutwa nzima wamejaa MMU.
Hapa yamejazana sana hii inapelekea kujiuliza mwaswali kadhaa;
Je hajui mapenzi ndio...
HII NI NONDO KWA WANAUME
Baada ya kupata ajali ya gari, na kutolewa jicho moja huku uso wake ukiwa umeharibika Anna aligopa hata kutoka nnje achilia mbali kutoka na mumewe kwenda sehemu za...
Hii inatokea sana kwa upande wa kina dada pindi wanapopata kazi huwa wanasahau walikotoka na kuwatosa wanaume hata waliowasomesha. Kwa wanaume inatokea ingawa sio sana. Je ulijisikiaje baada ya...