Bree ven
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 375
- 363
Hili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa?
Nahitaji tu kujua kama wapo maana hii imekua kawaida sex before marriage, nimesikitika sana hata wale ninaowaamini kuwa ni wacha Mungu wanafanya ngono kabla hawajaoa na kusali wanasali sana tu, inatishia amani hata kwa wadogo zetu mabikra watajifunza nini hapa.
Kwani kama unampenda mtu akakwambia msubiri tatizo liko wapi? Si unampenda au siku hizi watu hawapendi?