GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Hii kauli nimekuwa nikiisikia mno kutoka kwa Wanaume wenzangu kuwa wao wapo radhi waoe hata Wanawake wabaya wa Sura au Masikini lakini kikubwa wawe tu wasafi na wanajua swala zima la usafi kama Mwanamke.
Nimejiuliza maswali mengi sana hapa je nyie Wanaume wenzangu katika hii kauli mnachomaniisha ni nini kati ya haya yafuatayo?......
Akhsanteni na naomba kuwasilisha.
Nimejiuliza maswali mengi sana hapa je nyie Wanaume wenzangu katika hii kauli mnachomaniisha ni nini kati ya haya yafuatayo?......
- Mnamaanisha usafi tu wa Kuoga kila mara?
- Mnamaanisha usafi tu wa Kupigwa mswaki kila asubuhi na jioni?
- Mnamaanisha usafi wa kufua nguo chafu kila siku?
- Mnamaanisha usafi wa kuisafisha ' Mbunye ' kisawasawa ili isiwe ' inatema ' 24/7?
- Mnamaanisha usafi wa kujua kujipulizia pafyumu kali au kujifukuzia udi wa Zanzibar?
- Mnamaanisha usafi wa kutoa maneno au kauli nzuri Kwako?
- Mnamaanisha usafi wa kukumbuka ' Kuchamba ' kila aendapo Kujisadia Msalani?
Akhsanteni na naomba kuwasilisha.