SPSS
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 711
- 388
Habari za umu wanabodi,
Nitakribani mwaka sasa nimekua mtu wa tofaut sana mkali sanaa,mkorofi,short tampered,non friendly(ingawa I still have friends,old ones),kabla ya hapo nilikua mcheshi,mpole mchangamfu na temper ilikua mbali kidogo kwamba kwamba mtu akidhamiria kuniudhi inabd afanye ivo for sometimes,to make it short ilikua rahisi kwa mtu kua rafiki yangu na nili_value sana urafiki tofauti na sasa
Kilichonifanya nije umu nikua iyo trend inaendelea kiasi kwamba nashindwa ku_keep up with friends and new people meet.
Uko nyuma miliwah kupata tatizo lakimahusiano ambalo ilinilazimu kukaa muda nikivumilia ila Mungu nimwema mwisho ikaonekana ulikua wasi wasi wabure,kwa kiasi fulani kipindi icho cha mpito kilitwist my psychological wereva(nikimaanisha kisaikolojia nilisumbuka)
Ndan yajukwaa kuna watu na experience tofaut naomba kufaham naepukanaje na hii tabia mpya yakua na hasira gafla gafla,kupaniki,kua mkali sana etc
Note
Kuna ambao watadhan labda maisha magumu la hasha....nina maisha yawastan ambayo yananifanya niishi bila kuwaza sana mkate wa siku,kwa kifup nina mirad ambayo inaniingizia kipato vzr namshkuru Mungu