DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,381
- 29,627
Nn
Pigia mstariKwa ayo uloyaelezea, Ni uliyakosa yote ndomana hutaki tena kupenda???????
Pigia mstari
Amina = Na iwe hivyoPole....Ila bado ni unaishi na nina Imani kubwa IPO siku utakuja penda tena.....Mola asimame ndani ya moyo wako .....
Kasoro wewe tuhumu JF kila mmoja anajifanya ni love expert.
Kaa umbali wa mita 2000 ukiona parasitic relationship.Mkuu tuko pamoja... Wapenzi lazima wawe na symbiotic relationship... Both should benefit.
ItakuwaAmina = Na iwe hivyo