Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
JF ina majukwaa mengi tena yenye manufaa zaidi ya MMU, lakini wanawake wengi JF kutwa nzima wamejaa MMU.
Hapa yamejazana sana hii inapelekea kujiuliza mwaswali kadhaa;
Je hajui mapenzi ndio maana wamejaa huku kutafuta elimu ya mapenzi?
Je wanauelewa mdogo kuhusiana na mada nyingine tofauti kama uchumi, siasa na technolojia zaidi ya uelewa wa mapenzi?
Je mapenzi na ushauri ndio kila kitu kwa wanawake wa JF zaidi ya masuala mengine kijamii?