Kama ungekuwa na kitu cha kumshauri mtu kuhusu mahusiano, ungemshauri nini

luse

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
592
1,044
Imagine upo na ndugu, rafiki, au jamaa na anakuomba uumpe ushauri wa kuzingatia akiwa kwenye mahusiano.

Ningemwambia katika mahusiano, never put up with bullshit. Unakuta mtu yupo na a partner ambae labda badala ya kukaa chini na kuongelea tatizo lililopo kati yenu, mara huyo partner afanye visa, vimbwanga, asuse n.k I call that, bullshit, na ni moja ya dalili kuwa huu uhusiano hautadumu. Since the person can't act with maturity.

Kingine, ni fahamu na kuheshimu mipaka ya mwenzako.

Another thing is NEVER ignore the red flags.

What about you, ni ushauri gani ulionao wa mtu alieko kwenye mahusiano...
 
Don't ever play with someone's feelings.
True, ingawa wengi wana disregard this in pursuit of their own self interests.

Ni heri uwe genuine na mtu about what you want. Itapunguza all the unnecessary expectations, kuliko kudanganya. Pia kila mtu anakuwa on the same page.
 
True, ingawa wengi wana disregard this in pursuit of their own self interests.

Ni heri uwe genuine na mtu about what you want. Itapunguza all the unnecessary expectations, kuliko kudanganya. Pia kila mtu anakuwa on the same page.
Yep

Inaepusha On And Off mbele ya safari
 
Love is the battle and ur partner is ur enemy... If she/he miss the first bullet never give the second one
 
Km ni mwanamke bas ajitafutie maisha yake kwanza mf.akiwa na elimu/kaz/kajiajili itamsaidia sana mana pesa ndo muamuz wa mambo mengi....hvyo itampunguzia kunyanyasika na kuwa mtumwa kwa mwanaume

Ila kam ni mwanaume ndo nampa neno la ushaur ntamwambia kuwa mwanamke hata umpe elfu 50 ambyo ndo ya mwisho ktk mfuko wako Yeye(mwanmk) bado akilin mwake anaamini kuwa una laki ambyo imebak ya akiba...in shot ni kwmb atatakiwa ajue kuwa hakuna hela inayotosha kwa mwanamke...

Lastly mwanaume huyo ntamwambia wanawake sio wa kuwaamini mbk ukashindwa shaurika...shauli ako bhna
 
ningemshauri usithubutu kugombana na mumeo mwisho wa mwezi kama ni mfanyakazi, kama Mfanya biashara mchunguze umjue lini anpata faida
 
Back
Top Bottom