Habari zenu!hapa nilipofungua naambiwa huku roho inhuman hata kwa mume nimeondoka nimekuja kwetu kupumzika.ni mume wangu kipenzi na tuna ndoa ya miaka miwili na mtoto mmoja hakika tunapendana sana na sikuwahi kumfkiria vibaya.sasa jana nimechkua simu yake kutizama kitu Google ndipo nilipofungua full history kama yupo addicted na porn niliona uchungu sana na kuhisi yupo interested na porn star girls nimeskia maumivu sana.nilimbeba mwanangu na kurudi kwetu for sometimes je wewe ungejiskiaje?