Mliowatosa wenza wenu baada ya kupata kazi ulijisikiaje baada ya kukutwa na cheti feki

Hili ni kweli kabisa lakini mwisho wa siku atakutafuta tu na kama unavyojua mwanaume mbele ya mwanamke ni kama mkate na chai, ila si vizuri kubwagana wakati wa raha au shida wakati mlikuwa pamoja
 
Wanaume bana mnajua kujitetea kweli. Nami nikuulize unajisikiaje kukutwa na cheti feki wakati una michepuko kibao,dharau tele kwa mkeo kisa ni mama wa nyumbani?
Siyo kama kujitetea ila ni ukweli halisi, lakini hata km unacheti feki lakini si ulikuwa unawanufaisha na wengine?(hiyo michepuko) kubwa tusiwekeane dharau ktk maisha kwani hata hao wa vyeti feki walishajisahau kuwa wanatumia majina au vyeti ambavyo si vyao
ACHA DHARAU KWA MKEO/MUMEO HII KWA WANANDOA WOTE
 
mwanaume akiwa na pesa / kazi atakupq pesa ila masimango yake anataka akupe hela inayoitajika wala chenchi haibaki mkononi mwako
atafanya aamualo wala usimgombeze au kumkosoa
yaani anataka usimfatilie au kumcontrol akoseapo.

sasa inakuja umepata kibarua na wew hapo hata km ulikuwa huamkiwi asubuhi na baada ya kutoka mzee job ghafla utaanza kuamkiwa heshima itarudi

sasa mwanamke akicompare before and after anaona ni bora asepe akae na mtu atae himili wakati hana kazi au hawezi kunyanyuka na kwenda job.

hivo chanzo cha mwanamke kukukimbia baada ya kupata kazi ni wew mwanaume na sii kingine.
 
Sio wote huwa wanatoa hela kwa masimango.
 
Aibuuu.Ila wanaume mnajitoaga,eti wanaume sio sana....Wapo sana wanaowakataaga,wapenzi wao wazamani kisa kapata kazi ya maana..
 
Back
Top Bottom