tiztizo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 285
- 225
habari waungwana wa jukwaa letu pendwa?
kwanza kabisa ifahamike kua nina account mbili humu ndani ambapo ile ninayoitumia sana imenijengea jina kubwa sana humu especialy kwenye comments,wadada wanaijua sana ile ID,so thread ambazo zinani undermine kidogo natumia ID hii.
TOPIC;
Nimekua nikiangalia sana porn mda mwingine naishia kujichua,hii imepelekea matatizo ya kuwahi kumwaga nikiwa na madem kitandani,,,wiki mbili zilizopita nilianza programme maalum ya kufanya mazoezi ya mbio ndefu asubuhi pamoja na kuzingatia mlo ili kurejesha ule umahiri wangu,,kuhusu porn ni kwamba nimeangalia kwa usongo sana nikiwa na lengo la kuacha mwsho wa mwezi april,so kuanzia may sitaangalia tena na nimeapa ndani ya moyo wangu.
NITALETA MREJESHO BAADA YA SIKU 40 YAANI TAREHE 10/6/2017,KWANI WANASEMA UKIFANYA JAMBO KWA SIKU 40 MFULULIZO INAKUA TABIA,MUNGU NISAIDIE
Goodbye CHAPUTA goodbye PORN