Kati ya wanawake 10 mmoja ndo wa asili

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Kwa wale waajiriwa Heri ya Mei mosi
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Kwa utafiti mdogo nlioufanya leo nimegundua Kati ya wadada 10 wa mjini nliokutana nao ni mmoja Tu ndo kajiweka kiasili kuanzia kucha,nyusi,rangi ya ngozi mavazi na tabia
Ila 9 waliobakia wapo hivi:-
-Nywele sio zake kavaa wigi (nywele za maiti)
-Rangi ya ngozi sio yake (Kajichubua)
-Kucha sio zake kabandika ndefu(kama Jini shumileta)
-Mavazi kavaa ya kubana hadi K imejichora
-Wengi wamekoleza rangi kwenye nyusi au wamezinyoa na kupaka wanja wa mwendokasi
-Wengi wanajifanya wana tabia za kizungu wakati najua wanatoka uswazi mbaya
Utafiti huu umehusisha sample ya wadada 10
Majibu ya utafiti yanaonesha 99% ya wadada wa mjini wamezikana nafsi zao kuanzia nywele zao,rangi za ngozi zao ,kucha zao na masuala mengine ya kitabia na kimavazi.

Nahitaji recommendation juu ya utafiti wangu.
 
Research yako umetuma sample ngampi. Ukinijbi nami ntafanya ya wanaume. Ntaleta mrejesho
 
Back
Top Bottom