Ndoa nyingi zipo mashakani kwa sababu manung'uniko, hasira, kutovumiliana,kufoka,kutukanana,kutoaminiana, kuwaziana mabaya badala ya mazuri, kujikweza kwa majivuno yasiyo na maana, kunyimana...
Habari wadau
Naanza kuandika kisa hiki kwa maskitiko makubwa
Mwenzenu nina mke nimebahatika kuzaa nae mtoto mmoja lakini mke huyu wakati huo naanza nae mahusiano yetu nilimkuta na mtoto mmoja wa...
Habari ya kitambo mabibi na mabwana wa jamiiforum. Natumai mnaendelea vyema katika shughuli zenu za kutafuta kipato, salamu ya pili iende kwa familia zenu, waambie Kasie anawapa Hi5!!
Baada ya...
Habari za jioni Ndugu zanguni?
Katika maisha kuna majaribu sana haswa ya nani hatakuwa wa kufa na kuzikana katika ndoa nijambo ambalo limefichwa sana.
Kuna rafiki yangu kipenzi sana nimekuwa nae...
Katika Ukurasa wake Wa Facebook,Fr.Titus Amigu amekuwa akifundisha vijana kwa mambo mbalimbali ya kijamii, Kiuchumi, kiutamaduni na kiroho. Hii ni makala yake akiwausia wale wote wanaokusudia...
Wazee wa MMU najua humu kuna matukio mengi sana ya kimapenzi ambayo yameshawahi kututokea katika mambo ya kutongoza wengine wamepitia kwenye vipindi vigumu sana mpaka kumpata ampendae hii sanasana...
Amani kwa wote
Baada ya misukosuko yangu ya ndoa nimeamua kupata nyumba ndogo ya kunituliza manyago kama wadau wengi walivyonishauri,ila naona kama bado mashaka yanaendelea
Huyu bibie niliempata...
Nimekuwa member hapa muda mrefu hii ni id yangu ambayo hata jf friends wangu hawijui
Mimi ni mama wa watoto wawili mmoja 5yrs mwingine 3yrs umbo langu kabla ya kujifungua halikuwa kubwa lakini...
Habari ya muda huu wakuu
Katika miezi kadhaa iliopita nilitokea kuumizwa na msichana niliempenda sana, alinicheat katika mazingira ambayo kila nikiyafikiria huwa yananiumiza sana maana sikuwahi...
Wananchi habari za nyakati hii?
Kuna swala moja nimekua nikijiuliza sipati jibu sahihi kuhusu hawa wenzetu jinsia ya jirani. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza unaweza kukuta mdada mzuri na...
Nahitaji mkopo sana lakini mabenki mengi hayatoi mikopo toka mwanzoni mwa mwaka jana kutokana na vugu vugu la wafanyakazi hewa pengine na uchumu kuwa na msukosuko. Je kwa wale wahusika waliopo...
Tuwapende
WHAT A HUSBAND TOLD HIS WIFE THE NIGHT OF THEIR MARRIAGE/ WEDDING
My wife, everyone has gone home. The music is quiet, the celebration is over. Our wedding was beautiful but it is now...
Ndugu wana Jamvi
Leo nimetulia nyumbani kucheka na kufurahi na wanafamilia. Ninaona mambo mengine nashindwa kuvumilia kabisa.
Kitoto changu cha miezi mitano kimebebwa na beki tatu. Anaonekana...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
HAPPY NEW YEAR PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Maxence Melo sijui hata nisemaje, was watching the news, and everything...
Mwanaume na msichana mmoja walikuwa katika mahusiano. Baada ya miaka kadhaa ya mahusiano yao, mwanaume alimaliza chuo kikuu na kuamua kujiongezea maarifa kwa kwenda kusoma nje ya nchi.
Kabla ya...
Dada yangu lara 1, mwaka 2014 ulikuja na mada hapa yenye kichwa habari kuwa unatimiza 30 years of age na unaomba namna ya kudeal na age hiyo kimapenzi. Naona sasa umekuwa na 33 years.....tunaomba...
habari za usiku wana Jf.
samahani tujuzane kama na nyie mmewahi kujihisi kuchoka kutongozwa / kutongoza na umri gani mlijihisi kuchoka hiyo hali kiasi kwamba ukitongozwa / tongoza unazarau au...
Kama kichwa kinavyojieleza wadada mliozaliwa 80's kama bado hujaolewa huu tena sio muda wa kuchagua wa kukuoa.
Kama ni mechi wanasema fungulia mbwa...yani sagula sagula..ngoma nagwaaa..jua...
Moja kwa moja kwenye mada,
1. Kupiga mizinga - Wanawake wanapenda sana kuombaomba hela. Hata kama anazo, atapenda na za kwako kidogo achukue. Yaani "omba omba sana" kutokana na tamaa ya shetani...
Hivi ukiwa unaumwa malaria au ukiwa na homa vipi mgegedoni performance inakuwaje, kwa sababu nimekuwa mwoga sana kugegeda nikiwa siko sawa kwa hofu ya kufanya chini ya kiwango na hivyo kujipotezea...