Habarini wadau,
Nina rafiki yangu alikuwa na mchumba wake wanapendana sana so akaenda kumtambulisha kwao wazazi hawamtaki huyo binti kwa sababu ya kabila lake ameumia sana ni binti aliyejitunza...
Habari wana MMU....
Kumekuwa na mambo mengi yanayojitokeza kwenye mahusiano mpaka yanasababisha watu kuachana kwa kujua au kutokujua. Sasa leo nimekuja na uzi huu kama unavyojieleza hapo juu...
Katika pitapita zangu kwenye site mbalimbali za mapenzi nimekutana na hili swala la manukato yalivyo muhimu kwa mvuto. Inaelezwa kuwa mwanamke huvutiwa na mwanaume anaye nukia manukato. Yaami...
Mtu hujikuna anapopafikia!
Tajiri hakusanyi michango ya harusi. Huwezi kusikia Jay Z anaomba mchango wa harusi.
Kijijini mzee mwenye uwezo wake akifanya shughuli ya mwanawe kijiji kizima...
If you waste time, you waste life. Time is ticking, don’t waste your life - literally. Do things that truly matter to you.
Change what you can, accept what you cannot. This may sound discouraging...
WAKATI fulani mwaka 2012, nilipata mgeni ofisini kwangu. Alikuwa binti aliyeonekana kuwa mrembo lakini aliyekongoroka. Afya yake haikuwa sawa sana.
Uso wake haukuwa na tabasamu, macho yake...
Habari za leo wapendwa,
Nahitaji kujua kuhusu hili swala,
Nilikuwa na mpenzi ila kwa sasa tumeshaachana tuliachana mwaka Jana mwezi wa nane ila tatizo nikwamba anapenda sana kunifuatilia...
UPDATES a.k. a Feedback about Talaka
Wapendwa Wana MMU nawashukuru sana kwa ushauri mbali mbali mlionipatia juu ya sred yangu hii iliyokuwa inahusu kutaka kumtaliki mke wangu mpenzi. Japokuwa...
Mkulima nawasalimu wote.
Yaani umekutana na mdada mkafall in love hasa yy kakuganda mnapanga mgegedo mnapiga mechi unagundua kumbe anapapuchi used mpaka imewekwa vilaka..
Sasa fairly unamwambia...
Habari za wakati huu wana MMU;
Moja ya kitu bora sana na cha msingi sana ktk maisha ya kila siku ni kuwa na real love yaani upendo wa dhati kabisa...Hili sehemu kubwa sana Lipo kwa sisi wanaume...
UMESHAWAHI kukutana na mwanamke anaongea sana? Yaani yeye ni bandika bandua. Likiisha hili anaingiza hili, anajua kila kitu. Ana ujasili wa kuzungumza kwelikweli hata kama waliomzunguka wote ni...
Habari wa za kutwa kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapa jf naona kama hoja za mapenzi zimetawala, sasa nimejiuliza humu ndani kuna nani anayetaka kujua kuhusu mapenzi maana mapenzi yapo toka...
THE GIRL I WILL MARRY SHOULD READ THE FOLLOWING TERMS AND FACTS.
1. If we are having an argument, I will always be right.
2. In case you are right, then point number 1 also takes over.
3. When...
Ni rafiki yangu wa karibu... Akiwa ameanza kazi hapa Dar, mchumba wake alikuwa mkoani akifanya kazi. Ila kila nikiwasikiliza kwenye simu, ilikuwa ni ugonvi na kutokuelewana kwa hali ya juu...
Nashindwa hata kupata jibu!!! Demu wangu siku zote akiingia katika period bc tukionana tu tunagombana mana anakua na hasira sana na anakosa busara sana ht kwenye mwongezi ya kawaida tu inakua...
Hivi inakuwaje watu wanapenda kuhukumiana kwa makosa yaliopita ikiwa mambo mlishazungumza yakaisha?
Unakuta mtu ndio alifanya kosa na kwa upendo akakiri ili yaishe ila mwanamke atashikilia bango...
Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.