Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,889
- 183,964
Hivi inakuwaje watu wanapenda kuhukumiana kwa makosa yaliopita ikiwa mambo mlishazungumza yakaisha?
Unakuta mtu ndio alifanya kosa na kwa upendo akakiri ili yaishe ila mwanamke atashikilia bango hilo kosa na visasi havimuishi. Wengine hujiapiza kabisa lazma nikukomeshe!
Unakuta mwanamke anaanza kiburi, dharau na kejeli ndani ya nyumba mara apinge orders unazompa basi nyumba nzima tafrani. Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuchepuka na kuanza kunyimisha gemu.
Nadhani ni wakati mzuri wa wanawake kujitathmini. KE Kutaka kujikweza ama kujitutumua ndani ya nyumba hakutakusaidia lolote zaidi ya kuondosha amani tu ndani ya nyumba. Migogoro haitoisha sana mtazidi kurahisisha kuvunja ndoa na kutesa watoto.
Wanawake jifunzeni kusamehe na iwe kwa dhati sio mdomoni huku mnaendeleza visasi.
Nina imani kuna kubwa la kujifunza katika tukio lililotokea Mwanza la jamaa kumpiga mkewe gun kisha nae kujimalizia tokana na kiburi cha mke kujitia hamnazo!