Joel Baadae
Member
- Jan 25, 2017
- 14
- 3
Nina mpenzi asiye nidhamini kila nikitoka kwenda kazini yeye anajipa shugli na wengine wa kindia yangu kila nikimuliza ananitema
Hahahakwa uandishi huu ana haki ya kufanya kile anachokitaka yeye
na kwa uandishi huu tena huna haki ya kulalamika kabisa
my ribskwa uandishi huu ana haki ya kufanya kile anachokitaka yeye
na kwa uandishi huu tena huna haki ya kulalamika kabisa
Eti mpenzi asiyemdhamini sasa nani alimwambia mpenzi anatoa mdhamanaOyo,nenda urudi baadae Kama ID yako. Maana Hapa Hata haujaeleweka.
Huku sio Facebook
Eti mpenzi asiyemdhamini sasa nani alimwambia mpenzi anatoa mdhamana
shugli na kindia sijui ndo misamiati mipya hiyo halafu ukute nae huyu ni graduate anatembea na bahasha daily anatafuta kazi
Please..forgive my ribs. Yaani nacheka mpaka najikojolea Huku jamanikwamba mpenzi hataki kumdhamini sijui ilikuwa banki au mkopo wa kawaida
we nae huna huruma mtu kakataliwa kudhaminiwa wewe unachekaPlease..forgive my ribs. Yaani nacheka mpaka najikojolea Huku jamani
Walah unaniumiza mbavu zangu.we nae huna huruma mtu kakataliwa kudhaminiwa wewe unacheka
msiwaze tu facebook huenda mwenzenu alisomesha na hapo mpaka sasa anaandika mwili wote unatetemeka,Walah unaniumiza mbavu zangu.
Duh!!! Facebook sio nzuri sometimes