Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
[/QUOTEnitafanya hivyo akiwa amenioa not now I'm in a dillema![]()
Ila kuhudumiwa unatakaNimerogwa au... Natangaza hyo cku nkifanya hvyo kwa boyfriend nipelekwe mirembe bila kucheleweshwa!
Ayo ni maneno tu ao single mothers wanaishijeMwanaume atatafuta kwa jasho mwanamke atazaa kwa uchungu! so kama na nyie mtaweza kutusaidia mambo ya leba sawa.
Hahhahhaah mmae walahiIla kuhudumiwa unataka
Kama ni maneno tu! Basi ni sawa tukisema ni maneno tu ya kudhania kuwa wewe ni mwanaumeAyo ni maneno tu ao single mothers wanaishije