Nashangaa hoja za mapenzi kutawala ilhali mapenzi si mapya

chiefnyumbanitu

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
906
426
Habari wa za kutwa kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapa jf naona kama hoja za mapenzi zimetawala, sasa nimejiuliza humu ndani kuna nani anayetaka kujua kuhusu mapenzi maana mapenzi yapo toka enzi za mababu na mapenzi kila mtu na stail yake.
Ushauli wangu mjue kuwa mapenzi hayafundishwi kila mtu ana stail yake. Nawakilisha.
 
Ni ugumu tu Wa maisha unasababisha hayo
 
Kuna majukwaa mengi sana humu mkuu, hilo unaloliongelea limewekewa jukwaa lake maalumu na hawajalazimisha kila MTU awe anaingia humo.

Kikubwa tafuta jukwaa ambalo halikukeri au ambalo una interest nalo
 
Hahahah sasa we mapenzi kama yanakuzingua si unayatema tu mkuu, fanya mambo mengine!
 
ashasahau kuwa Tanzania tunakaribia kushika mkia kwa kutokuwa na furaha maishani,ni bora tujiliwaze na mapenzi tu,maana ni mada ambayo inamgusa kila mmoja wetu kwa namna yake..
 
Unataka tuizungumzie Nyuklia Ya Mkorea na wakat Hata Hatujui Inatengenezewaje......??

Wewe Vip Wewe ..........!!!!!!
 
Back
Top Bottom