Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,425
Habari za leo wapendwa,
Nahitaji kujua kuhusu hili swala,
Nilikuwa na mpenzi ila kwa sasa tumeshaachana tuliachana mwaka Jana mwezi wa nane ila tatizo nikwamba anapenda sana kunifuatilia fatilia kunitumia SMS za karaha mpaka inafikia steji ananitukana na siyo Mara moja zaidi ya Mara mbili.
Wakati yeye mwenyewe ndiyo aliniambia tuachane kisa eti mimi napenda sana kulala mika, nikamwambia sawa kama ndiyo ulivyoamua hamna tatizo siwezi kukuforce uendelee kuwa na mimi, basi tokea Siku hiyo tukakata mawasiliano ila akikaa kama wiki mbili anaanza kunitafuta ananisalimia lakini inafika kipindi anatuma SMS za madongo kama siku moja nimekaa Mara naona SMS whatsApp inasomekaa hivi; ''Unaringa nini wakati huna kizazi''.
Na alisema hayo maneno kutokana na kwamba alitaka nizae nae lakini mimi sikuwa tayari na nahisi hata hilo lilichangia kuvunjika kwa penzi letu. Hayo maneno yalinikwaza kwa kweli kwahiyo tukaanza kujibishana mpaka tukafikia hatua tunatishiana kulogana na si Mara moja ananichokonoa.
....