mchungaji7
Senior Member
- Feb 2, 2017
- 187
- 404
Yeyote anayefanya tendo la ndoa nje ya ndoa anafanya jambo linalomchukiza Mungu...acha Mara moja
Kabsa mkuu, na uzinzi ni dhambi , Mungu alisema usiziniukifanya nje ya *ndoa* haliitwi tendo la ndoa ila ni *kuzini*.
UbarikiweAmen
shikamoo mwalimu wangu!!Mchungaji bwana asifiwe, umeoa?
Ngoja ajeMchungaji bwana asifiwe, umeoa?
Hapana bado sijaoa Evelyn SaltMchungaji bwana asifiwe, umeoa?
Hapana sina kichaa ndugu, bali anayezini maana biblia inasema aziniye na mwanamke hanaa akili kabsa maana afanya jambo litakalo mwangamiza nafsi yakeUna kichaa ww
Ukitubu Mungu atakusamehe kbsamchungaji hata nikitubu zambi hii sitasamehewa kwa Mungu
Nimesha kuja na nimemjibuNgoja aje
Hajui alitendaloYaani wamtusi mpakwa mafuta wa Bwana?
Wengi kweli lkn wakitubu Mungu atawasamehe kbsaNa kwa dhambi hii wengi watakwenda jehenamu
Ubarikiwe pia binti mwema..yafanyie kazi hayo utapata memaHaswaa. umenena vyema. ubarikiwe