Nashindwa hata kupata jibu!!! Demu wangu siku zote akiingia katika period bc tukionana tu tunagombana mana anakua na hasira sana na anakosa busara sana ht kwenye mwongezi ya kawaida tu inakua shida kwake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.