Mzalendowadamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 218
- 318
Katika pitapita zangu kwenye site mbalimbali za mapenzi nimekutana na hili swala la manukato yalivyo muhimu kwa mvuto. Inaelezwa kuwa mwanamke huvutiwa na mwanaume anaye nukia manukato. Yaami kwamba mkitongozwa na mwanaume anaye nukia manukatu ni rahisi kukubali kuliko asiye na unyunyu
Ninaomba dada zetu wa humu jukwaani mtufumbulie hili na kama mkiweza mtuelezee kwa kirefu ni nini hasa kinawajia kichwani mkutanapo na wanao nukia unyunyu na ni unyunyu tulivu au ule mkali mpaka mapepo yanapanda.