Hawa wadada wana nini

BEST ONE BOY

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
309
221
Habari za wakati huu wana MMU;
Moja ya kitu bora sana na cha msingi sana ktk maisha ya kila siku ni kuwa na real love yaani upendo wa dhati kabisa...Hili sehemu kubwa sana Lipo kwa sisi wanaume ila sio kama wanawake hawapo wapo ila wachache

Unaweza kuona mwanaume kasoma mpaka chuo na Ana ajira au shughuli fulani halali ya kumuingizia kipato anakuja kumpenda na kumwoa mwanamke ambaye unaweza ukute hana hata elimu na hata wakati mwingine darasa la Saba ndoa inasonga bila ya shida ya elimu wala kutokuwa na kipato

Unaweza pia kuta sehemu kubwa mwanaume anaoa single mother halafu hamtesi mtoto wa kambo japo kimtindo maisha yanasonga bila ya tatizo ila wadada hapo %kubwa ya wanawake unakuta wanawatesa sana watoto wa kambo

Kwa upande mwingine unakuta msichana kapoteza usichana wake tangu yupo primary au o level na WaPo wengine walifanya abortion .....
Shidaa inaanza pale ambapo wasichana wakifikia stage wanaanza kusema
--ehee mwenyezi mungu nionyeshe mume bora
__ebwana nionyeshe mume mtanashati
--mwanaume mwenye pesa
__ mwenye elimu

Hapo tuu ndipo ninapowashangaa wasichana mana sio kwa sifa ambazo wanataka wanaume wawe nazo

My sister kama unataka mwanaume mwenye sifa hizoo labda atakuwa bwana wa mtu tayari we we tafuta wa kwako na Anza naye maisha kuweni wavulivu
 
Hili suala hata mimi huwa nawashangaa sana wanawake (baadhi) anafanya starehe zooooote...Anajiharibu weee...Kuja kushtuka umri umeenda halafu anataka Mume mwema mwenye vigezo lukuki huku yeye sio mwema
 
Hili suala hata mimi huwa nawashangaa sana wanawake (baadhi) anafanya starehe zooooote...Anajiharibu weee...Kuja kushtuka umri umeenda halafu anataka Mume mwema mwenye vigezo lukuki huku yeye sio mwema

Naomba wadada bado hawajaja

Ngoja waje hapa watoe Yao ya moyoni
 
Baadhi ya wanawake wana roho mbaya mno,kijicho,wivu na mengine mengi. Mfano mzuri ni wanachomfanyia zari hata kabla hajazika baba watoto wake wao wanatumiwa kama ngazi ya kumdhoofisha.
 
Hakuna mafanikio bila ushirikiano wa pande mbili hivyo wajifunze kwa baadhi ya hao wanaoanza maisha na bwana wa hali ya chini ila ana mipango mizuri ya maisha
 
Back
Top Bottom