euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,797
- 4,163
Habari za usiku wana jukwaa ,ni kwamba nina mpenzi ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka kadhaa hali ya kuwa kila MTU anaishi kivyake yaani yeye anaishi kwao.Mwaka Jana mwezi wa 11 mwishoni tulikutana kimwili kuanzia siku hyo mpakA Leo hatukuwahi kupga tena show.Sasa juzi kaenda hospital I kakutwa na mimba ya miezi minne ,then ananipgia CMU na kuniambia kuwa ana mimba yangu sasa wataalam hii kitu inawezekana kweli maana miezi ming hatujakutana.