Lix 360
Member
- Mar 28, 2017
- 23
- 19
Jamani wadau, napata shida sana na huyu demu wangu, hataki kabisa habari za ku sex, anadai kuwa mpaka nimuoe ndio kila kitu chake nitakipta tena katika hali ya juu, alafu kitu kitu kinaitwa denda ndio kabisa hataki sasa najiuliza nimuache au vipi? Au labda ndio wife material?
Naombeni ushauri wadau
Naombeni ushauri wadau