Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,107
- 1,094
Ni swali tu hivi kati ya binti aliepewa mimba akazaa halafu huyo mwanaume aliemzalisha akaoa binti mwingine na binti aliedumu na mwanaume kwenye mahusiano kwa miaka takriban tano halafu akajatoswa au kuachwa na huyo mwanaume akaoa binti mwingine,hivi hapo yupi ambae anakua ameumizwa zaidi?