Wadada hakikisheni wapenzi wenu wanaweza kuwatimizia mahitaji yenu muhimu msipige wengine mizinga.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
6,002
19,449
Salamu wandugu.

Wadada hakikisha unapokua na boy friend basi awe na uwezo wa kukutimizia mahitaji yako yote muhimu, isiwe una mpenzi huku unapiga vibomu wa wanaume wengine.

Unakuta mdada umemuomba mbuye akakataa kwa msisitizo kua ana mpenzi wake na kukuomba muwe marafiki wa kawaida lakini unakuta analeta mazoea ya kuomba omba hela kwa ajili ya kutatulia shida zake ndogo ndogo.

Mbunye ale mwingine alafu uletee wengine usumbufu, hakikisha kama hutaki kutoa mbunye yako kwa mwingine basi anaeila awe na uhakika wa kukutimizia mahitaji yako muhimu, usisumbue watu wengine na vibomu vyako, kama hawezi basi wape watu mbunye wale wamsaidie huyo jamaa kukutunza.

Kina dada wenye hii tabia ikome mara moja vinginevyo hili jambo litafika kwa askofu.
 
Ukionekana bwege machoni mwao lzm wakupige vizinga...mimi nadhan nikiongea na mwanamke dk 10 tyr anakuwa keshajua huyu mjinga sio wakukubali kila kitu...mapema nishaonyesha ubishi...ht km nakutaka ila biashara ya kunipelekesha haipo...mpo wengi..
 
Mkuu hawa viumbe ni complex kuwaelewa. Kuna demu gani atakuomba pesa alafu hakupi show, hakuna situation wanawake wanatumia akili kama iyo btw wewe ukiombwa kama unacho toa, usitake kumnyima mtu msaada eti mnakomoana, demu akikuomba pesa ujue kakuzingatia sana.... Jiongeze mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom