ziba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 474
- 546
Leo naomba niwaambie ukweli wanadada.
Unakuta mdada kajipaka malips stick mekundu ukimuangalia domo jekundu utadhani mchawi katoka kula nyama za watu. Mimacho kaipaka mirangi yaajabu usipo muangalia vizuri unaweza kutimua mbio ukadhani umekutana na jini.
Mara mvae makope ya bandia looh! Utadhani midoli ya kuuzia nguo. Mbaya zaidi unakutana na mwanamke kapaka usoni sijui ma angleface sura inakuwa kama maiti inaagwa ndani ya jeneza.
Niwaambie ukweli hampendizi zaidi mnakuwa vituko tu barabarani.
Acheni kuiga kila kitu