Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Jamani msinichoke, kuna msichana wangu ananikwaza sana, tunaishi mbalimbali ila tupo mkoa mmoja, tatizo kwa huyu msichana ni matumizi ya simu, yani unaweza mtumia text hata 100 lakini usijibiwe au baadaye atakwambia simple tu nililala, unaweza piga simu isopokelewe.
Yeye kutwa anasema kachoka kachoka, hata kujibu text atakwambia kachoka, sasa nashindwa nifanyaje maana tabia hii inanikwaza sana na kuwa mpweke, je wapo wanawake wa hivi wanaochoka hadi kushindwa kuwapa muda wachumba zao?.