mtuwewe
Member
- Jul 18, 2016
- 47
- 25
Habari wana jf,
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, Mimi ni kijana wa kiume nafanya kazi ktk private sector.
Kipato changu na maisha yangu ni vya kawaida.
Kwa sasa naitaji Mchumba wa kujenga nae maisha! Vigezo kama ifuatavyo
1.Dini yoyote ile
2:Rangi yoyote
3:Awe tayari kuishi mkoa wowote
4:Mnene na mrefu wastani!