Kwa wanaume wenzangu; je ungekubali?

Masaa mbele

Member
Mar 14, 2017
45
15
SWALI KWA wanaume !!

Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!!
Upo home unaishi na wazazi pamoja na
dada yako,
sasa dem wako anakwambia bwana
nataka nije kwenu alafu ukicheki home msala kwa wazazi sasa unampanga dadaako kwamba awadanganye wazazi
kama atakuja rafiki yake (dem wako)
atakaa home kwenu kama wiki
moja.Dadaako anakubali ombi lako, kweli
dem anakuja halafu usiku anakuja kulala chumbani kwako bila wazazi kujua. mpaka wiki inaisha anaondoka
home huku wazazi wakijua alikuwa rafiki
wa dada ako.

Sasa baada ya siku mbili dadaako nae
anakwambia ana bwana ake anataka kuja nawe ujifanye rafiki yako alafu usiku kama kawa anaingia geto kwa sista!
Ungekubali?
Naomba jibu tafadhali.
 
Hahahaaaaaas
 
Huo utakuwa ni mchezo usio hitaji hasira.

Maumivu ya ndani ya moyo lazima uyapate, sababu,,

Ukimwaga ugali yeye anamwaga mboga.

Situational dilemma should face you definitely.
 
Back
Top Bottom