Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

hivi wanawake wakibeba mimba wanatufanyia makusudi au nini? Yaani hii mimba imekua kero maana kila siku inakuja na mpya mara anataka chipsy mayai, mara malta, mara sentiana, mara piza, nashangaa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Dear brothers /Sisters hakuna mwanamke/mwanaume mbaya duniani,mwanamke/mwanaume yeyote anayepewa matunzo ya upendo ,kuheshimiwa ,adabu na kusifiwa na mume/mke wake ,humfanya kuwa na nuru na uzuri...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yaani housegirl anamiaka sita hajawahi kulipwa mishahara.... Akidai anaambiwa kwani mbona nakununulia nguo nakukulisha... Akikomaa utasikia mbona nakulea hapa kama mwanangu Akizidi zaidi...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu. Baada ya miaka mitatu ya mahusiano, mwezi wa nne mwenzangu alinimwaga bila sababu. Nilimuheshimu, nilimjali, nilimsupport kwa mambo yake nk. Aliniambia kanichoka na upendo...
1 Reactions
65 Replies
5K Views
Unafanyaje pale unapokua na strict parents wasioruhusu kutoka usiku? Okay unaombaje ruhusa kwa mzazi kama huyo? Au niseme unamshawishi vipi akupe ruhusa? Unatoa wapi guts za kuanza kuomba ruhusa...
1 Reactions
70 Replies
4K Views
Hello guyz,wakuu poleni na Majukumu. kwa walioachiwa watoto wadogo/wachanga miezi 3 -5 Kwa sababu mbalimbali na Watu wao wakaribu/ndugu/jamaa/rafiki ,walifanyaje mpaka wakakua bila matatizo...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda Dada mmoja mjini Bukoba akiwa hajielewi kwa kile kilichompata, ajikuta hana sehemu zake za siri (Nyeti Zake) baada ya kulala na mwanaume msukuma katika nyumba ya wageni ya Super...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Upepo Siyo Bao
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ikiwa ni siku nyingne tena tunakutana kwenye jukwaa letu pendwa la MMU. Leo naomba ushauri kidogo juu ya hili swala, Kuna bidada mmoja tulifanya nae biashara fulani, baadae tukaendelea...
5 Reactions
105 Replies
15K Views
jamani poleni na majukumu ya kila siku mimi nahitaji kuoa na nini msichana wangu niliyekua nae kwa muda wa miaka sita toka enzi za secondary lakini imekuja kuwa vigumu kumuoa kwani mama yangu...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Salama jamani kama uzi unavyojieleza hapo kuna rafiki yangu wa kike kapata mchumba na wanamtoto mmoja hadi saivi mipango ya ndoa wanayotoka siku nyingi...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Asalam!! Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu, ni takribani mwezi sasa unaelekea kuisha tangu hii familia iwepo nyumbani kwangu! Habari yenyewe kiundani wake iko hivi; Mwenye familia ni...
9 Reactions
136 Replies
10K Views
Ingawa umri wangu hauko mbali na huyu Mzee, sitaki kuwa kama yeye. Yaani, lugha yake si mchezo. Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wapendwa.Katika maisha yetu naamini kwa namna moja ama nyingine kuna waliotukwanza au tuliowakwanza. Leo nataka tuwatangazie MSAMAHA. huenda ikawa ni rafiki/ X wako/ mume/mke/Jirani...
8 Reactions
53 Replies
4K Views
  • Closed
Umri ndo huu umefika, sikutaka kukurupuka kuja hapa kuandika maana kuna kuna wengi wenye kutafuta waume niliona isiwe shida ya nami kuandika niliwafuata baadhi ya wale niloona wana vigezo...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
guest-1793102819
MAMBO YANAYOVUNJA MAHUSIANO 1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako. 2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako. 3. Ubishi usiokuwa na maana. 4. Kupenda kujihesabia haki. 5. Kutokubali makosa...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Jamaa yangu anaomba ushauri wa haraka (Fast track) Kisa kilikua hivi... Wife kang'amua username ya jamaa ya JF. bila jama kuusoma mchezo. Wife katengeza acount kaweka na profile picture ya...
17 Reactions
77 Replies
7K Views
Salaamu waungwana muwazima ndugu zangu Well kichwa cha habari ilikua swali ambalo niliulizwa na mwenzangu kipindi cha nyuma kidogo wakati bado hatujafikia ndoa. Binafsi nilijiona kama mkosaji...
11 Reactions
62 Replies
4K Views
1-> Utumiaji mbaya wa mitandao ya kijamii √ 2-> Kutokupenda kufanya kazi za nyumbani√ 3-> Kujipara hadi sura yako ya asili inasahaulika √ Ni kweli wanaume hupenda mwanamke mrembo na mwenye...
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…