Wanawake mlioolewa: Angalieni mnapoleta wadogo wa kike nyumbani kwenu

Mvumilivu2

Senior Member
Jul 31, 2014
107
47
Heshima mwenu wakuu,

Story ipo hivi kuna dada mmoja tunaishi nae nyumba mmoja kaolewa kwa ndoa kabisa na wana mtoto wa kike wa miaka miwili.

Huyu dada alichokifanya alienda kwao akaja na mdogo wake wa kike umri miaka 15 anaishi nae chumba chenyewe kimoja.

Juzi kati kaenda tena kakuta mdogo wake mwingine kafunga shule nae kamleta ana miaka 10 wa kike wanalala humo humo ndani sasa kabla ya huyo dogo mwingine kuja huyu dada huwa anatoka saa kumi alfajiri kwenda kuchukua mzigo anamuacha mdogo wake ndani na mumewe wanalala wee hadi saa mbili.

Sasa hivi huyu mume akienda kuoga anavalia huko huko kama yupo kambini vile. Wadada mlio ndani ya ndoa msijisahau ndoa ngumu sana kuipata hata kama tunatokea familia ya chini lakini tufikirie tunapoleta ndugu zetu kukaa nao ili hali hakuna pa kulala madhara ni mengi.

Natamani hata nimshauri ila nahisi ataona kama namuingilia uhuru wake.

Hivi hili limekaaje wadau ni uungwana mtu akiolewa akalete na ndugu wakati hakuna hata pa kulala? Yani nashindwa hata kuishangaa hii familia yani watu watano chumba kimoja mh hapana.

Karibu tulijadili wengine wapate funzo.
 
Hiyo haijakaa sawa, ila kwa vile hujamsikia jamaa analalamika hilo suala liache kama lilivyo. NB:- Mkumbushe jamaa mwanaume haachwi na mwanamke kitandani labda kama anaumwa.
 
tunasemaga hiyo ni golden chance asa Jamaa kaletewa nyama kabisa anashindwa kula dadekiiiii??
 
Heshima mwenu wakuu

story ipo hivi kuna dada mmoja tunaishi nae nyumba mmoja kaolewa kwa ndoa kabisa na wana mtoto wa kike wa miaka miwili,,,,

huyu dada alichokifanya Alienda kwao akaja na mdogo wake wa kike umri miaka 15 anaishi nae chumba chenyewe kimoja

juz kat kaenda tena kakuta mdogo wake mwingine kafunga shule nae kamleta ana miaka 10 wa kike wanalala humo humo ndani sasa kabla ya huyo dogo mwingine kuja huyu dada huwa anatoka saa kumi alfajir kwenda kuchukua mzigo Anamuacha mdogo wake ndani na mumewe wanalala weeee had saa mbili

sasa hiv huyu mume akienda kuoga anavalia huko huko kama yupo kambini vile. wadada mlio ndan ya ndoa msijisahau ndoa ngumu sana kuipata hata kama tunatokea familiya ya chini lakin tufikirie tunapoleta ndugu zetu kukaa nao ili hali hakuna pa kulala madhara ni mengi

natamanig hata nimshauri ila nahis ataona kama nauingilia uhuru wake

hiv hili limekaaje wadau ni uungwana mtu akiolewa akalete na ndugu wakati hakuna hata pa kulala? yan nashindwa hata kuishangaa hii familia yan watu watano chumba kimoja mh hapana

karibu tulijadil wengine wapate funzo
warangi hao wazoee
 
dah ! huyo jamaa ana moyo wa uvumilivu sana ameshindwa kuvitafuna vishemela vyake
kashindwa wap!? wakiwa wawil iwe ni mchana au alfajir shughul za huyo bint zinasimama anajifungia ndan na shem huwa Wanafanya nn
 
Back
Top Bottom