Single Mom Heshima Kwenu

BRN

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
4,229
5,255
Hallo..
Heshima kwenu kwa kulea wanawenu bila babazao kujali, nampongeza mama yangu kwa ujasiri aliokuwa ameupata wa kunilea hadi hapa nilipofikia yaani daah. Nikiiona humu wanavyopewa majina mabaya huwa najisikia vibaya sana, kwa single mother wote humu JF msikate tamaa mtawafikisha watoto wenu pale mnapotaka wafike kuweni jasiri.
Mwenye kuweza kuweka wimbo wa clean bandit wa rockbye atakuwa amenisaidia sana kusindikiza salamu hizi.
Ahsante.
 
As requested kaka....

Nimepitia kwenye hayo maisha Mkuu
Mm ninalea binti yangu ana miaka 8 now,nilipata ujauzito nikiwa o-level nikamsitiri jamaa asiende jela but mwisho wa siku akaniona sifai,but thank God nilifanikiwa kumaliza mitihan salama na hv ss maisha yanaendelea mwanangu kakua na anasoma shule nzuri bila ya uwepo wa baba yake
 
Kwa hili tumuunge magufuli mkono waende jela miaka 30
 
Single mom alitulea watoto nane paka wote tumekuwa na kujitambua rest in peace my love mom ungekuwa leo ningelipa fadhila japo kidogo hakika ulikuwa malkia wa nguvu wewe ni zaidi ya maisha yangu
Pole mkuu,na hongera zake mama nadhan hata huko alipo anajiona shujaa
 
Mm ninalea binti yangu ana miaka 8 now,nilipata ujauzito nikiwa o-level nikamsitiri jamaa asiende jela but mwisho wa siku akaniona sifai,but thank God nilifanikiwa kumaliza mitihan salama na hv ss maisha yanaendelea mwanangu kakua na anasoma shule nzuri bila ya uwepo wa baba yake
Achana naye hajitambui ,,hongera na wewe kwa kuwa na maamuzi ya busara ( kutokumfunga baba mtoto) utalipwa na mungu na usimfundishe mtoto kumchukia baba ake
 
Sijamfunza chuki hata kidogo kwasababu nilishamuonyesha picha za baba yake na anafahamu ubin wake but swali linaloniumiza roho sana ni yeye kuniuliza mbona baba haji kunisalimia au hanipendi?huwa nakosa cha kumjibu mtoto
 
Back
Top Bottom