HUZUNI:nimegundua nagombea demu na father wa kanisa langu

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,074
4,693
wadau habari zenu?
naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa hakika mapenzi yanauma jamani omba yasikukute!

mchumba wangu amekua akinificha ficha juu ya hili lakini nimetumia maarifa yangu na taarifa za kiinteljensia kuujua ukweli.
huyu father ni mlezi wa vijana hapa kanisan*
sasa baada ya kuona viashiria hatari kati ya father na mpenzi wangu ikabidi nianze uchunguzi mara moja tena wa hali ya juu kama FBI
kwanza machale yalinicheza baada ya kuona padri anachati na mpenz wangu. hivi jamani padri anapataje mda wa kuchat na madem?

baada ya kumbana mpenzi wangu akanambia kua ni kweli father alimtongoza lakini akamkataliaa
hivi jamani dunia ndo imefikia hapa?
hivi nyie mapadri wa type hizi mwamdanganya Mungu Au?
nimeamua kuhama na kanisa kabisa hii ni aibu na fedheha

jamani baada ya kumpa mpenzi wangu kibano naomba ushauri wenu huyu father nimpe adhabu gani? kama noma na iwe noma mimi naliamsha dude
 
Wewe kijana wacha utoto alaaaaa!!
Ebooo!!Hivi ukisikia padre unadhani hana hisia?
Halafu unasema ndio tumefika hapa?Wapi hapo tulipofika??

Haya mambo siyo mapya,hayajaanza jana wala juzi.Na Padre sio Kanisa ila kanisa ni Padre,kati ya mapadre kumi,wawili wakianguka dhambini haimaanishi kanisa limeanguka na halipo tena.

Muombee padre wako,wewe una nafasi ya kuoa na kuendelea na maisha.Usimtangaze kwa mambo madogo na ya kibinadamu kana kwamba na wewe ni malaika.Jitazame upya,kama Ukatoliki wako ni wa "blututh" basi kazi unayo.

Tuwaombee Watumishi wa Mungu,wanapoingia katika dhambi na uvuli wa mauti.Tukumbuke mengi wanayojitoa na kutusaidia kiroho tunapokuwa katikati ya mtanziko wa maisha ya mwili na roho.Jijengee hali ya kuweka mambo kifuani,usiropoke hovyo kwa mambo ambayo hata Nabii Daud na ukuu wake yalimshinda,Suleiman na hekima zake yalimshinda....Hata wale kumi na wawili waliokula na kukaa na Yesu,yupo mmoja aliingia dhambini na kumuuza Yesu kwa vipande vya pesa.
 
haaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaa wanawakula vizur sana na kuna watoto wa mapadre wamezagaa mtaani.....
hujawah ona baba padre anapatanisha ndoa? anaongea na baba akimaliza anamwambia mzee ampe muda aongee na mama...humo humo anaminyia nyege zake unashangaa maza anarud ana furaha tele...ndoa inarud maisha yanaendelea!!
 
Wewe kijana wacha utoto alaaaaa!!
Ebooo!!Hivi ukisikia padre unadhani hana hisia?
Halafu unasema ndio tumefika hapa?Wapi hapo tulipofika??

Haya mambo siyo mapya,hayajaanza jana wala juzi.Na Padre sio Kanisa ila kanisa ni Padre,kati ya mapadre kumi,wawili wakianguka dhambini haimaanishi kanisa limeanguka na halipo tena.

Muombee padre wako,wewe una nafasi ya kuoa na kuendelea na maisha.Usimtangaze kwa mambo madogo na ya kibinadamu kana kwamba na wewe ni malaika.Jitazame upya,kama Ukatoliki wako ni wa "blututh" basi kazi unayo.

Tuwaombee Watumishi wa Mungu,wanapoingia katika dhambi na uvuli wa mauti.Tukumbuke mengi wanayojitoa na kutusaidia kiroho tunapokuwa katikati ya mtanziko wa maisha ya mwili na roho.Jijengee hali ya kuweka mambo kifuani,usiropoke hovyo kwa mambo ambayo hata Nabii Daud na ukuu wake yalimshinda,Suleiman na hekima zake yalimshinda....Hata wale kumi na wawili waliokula na kukaa na Yesu,yupo mmoja aliingia dhambini na kumuuza Yesu kwa vipande vya pesa.
Kabisa mkuu, ndiyo maana wakatoliki tunashauriwa kusali sala ya Mt Michael The Arch Angel, the host prince katika siku hizi ambazo kanisa linapigana na wenye nguvu waakao gizani.
 
Umeshindwa kuscreenshoot hizo sms hata ungezitupia kwa waumini basi...kama mbwai na iwe mbwai tuuu
 
Acha munkari, vitu vizuri kula na nduguzo, huyo ni mchumba tu anaweza akakumwaga ukaaibika, rudi kanisani, muombee huyo padri abadilike.
 
Ni demu wako au mkeo? Maana kabla hujaamua kuzinguana na mtu hakikisha na ww una usahihi..haturuhusiwi kuwa na demu..tunatakiwa kuwa na wake,au wachumba ili ndoa ifungwe.tofauti na hapo ww na padre wote ni wale wale
 
wadau habari zenu?
naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa hakika mapenzi yanauma jamani omba yasikukute!

mchumba wangu amekua akinificha ficha juu ya hili lakini nimetumia maarifa yangu na taarifa za kiinteljensia kuujua ukweli.
huyu father ni mlezi wa vijana hapa kanisan*
sasa baada ya kuona viashiria hatari kati ya father na mpenzi wangu ikabidi nianze uchunguzi mara moja tena wa hali ya juu kama FBI
kwanza machale yalinicheza baada ya kuona padri anachati na mpenz wangu. hivi jamani padri anapataje mda wa kuchat na madem?

baada ya kumbana mpenzi wangu akanambia kua ni kweli father alimtongoza lakini akamkataliaa
hivi jamani dunia ndo imefikia hapa?
hivi nyie mapadri wa type hizi mwamdanganya Mungu Au?
nimeamua kuhama na kanisa kabisa hii ni aibu na fedheha

jamani baada ya kumpa mpenzi wangu kibano naomba ushauri wenu huyu father nimpe adhabu gani? kama noma na iwe noma mimi naliamsha dude
Akili yako na demu wako zikuwe sasa , huyo demu wako kama mkweli angekuambia anasumbuliwa na mtu fulani ,
Umeona solution kuama kanisa alafu unaenda wapi Msikitini au Kabisa lengine , vipi ikitokea tena unajikuta unatumia hiyo akili yako kama FBI baada ya mschana wako anatoka na Mwalimu wa Sifa na Nyimbo
Au Msikitini ukahis tena anatoka na Ostazi , utakuwa na pa kwenda tena au utahamia atr na budha
JIULIZE HUYO MSCHANA WAKO NI MKWELI KULIKO VILE UMDANGANYAVYO KWA VTENDO MAANA HUKUMSHUUDIA
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom