Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,792
- 1,749
Imebainika kwamba nyoka dume na jike wafanyapo mapenzi jike huishia kumla dume anapomaliza kumshughulikia.Na pia nyoka jike ni kicheche na bado hutafuta dume ambalo ni strong character ili kufanya nae mapenzi.
Hapa utaona kwamba majoka dume huwa mengi yanaposikia harufu ya jike alie ktk siku zake na huwa kuna mashindano ya kumpata huyu jike ila ni mmoja tu katika mamia ya madume huwa na bahati ya kumshughulikia huyu nyoka jike..
Katika jamii ya hawa viumbe wa ajabu nyoka jike huwa na umbo kubwa na dume huwa na umbo au mwili mdogo kulinganisha na nyoka jike..Na pia Imebainika kwamba hawa madume hupenda majike yenye maumbo au miili mikubwa sana.Na jike anapopata ile strong character anayoitaka na yule dume anapomuingia huwa anammiminia hata kwa kitambo cha kuzidi siku nzima..Na hata dume likinyong"onyea kwa uchovu jike huwa halichoki linatoa macho tu na hatari humfika huyu dume kwamba mwisho wa siku huyu jike huwa haangalii shughuli alioifanya bali huishia kumla huyu dume pasi na huruma.
Pia baada ya madume kujua ubaya uliojificha kwa haya majike hujiepusha kummiminia kwa mda mrefu.Hivo hujichomoa na kuacha alama ambayo hata huyo jike akiwa na heat wakati mwengine atakuja na kumshindia bila competition.
Hawa watafiti wamejiuliza Yafuatayo
1.Hivi jike la nyoka huchagua vipi strong character mmoja katika mamia ya madume?
2.Kwa nini jike humla dume baada ya kumshughulikia??
Na maswali yangu
1.Hivi katika madume ya binadamu kuna strong character??
Maana kuna kidume kiko kimya kinaweza kikatafuna watoto wa mtaa Mzima.
2.Hivi uchaguzi wa wanawake wa kibinadamu unahitaji kutiliwa shaka??
Karibu uongeze,,unisahihishe na unikosoe,,,naomba kuwasilisha link nitazileta.